iqna

IQNA

Tafsiri ya kwanza ya Qur’ani katika zama hizi nchini Algeria imechapishwa kwa anuani ya Ad Darul Thamin Fi Tafsir al Quran na imeandikwa na Allamah At-Tawati bin At-Tawati.
Habari ID: 3470228    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/05